Waandishi wa habari habari wametakiwa kufikiria mbinu au njia zitakazotumika kuleta amani nchini.

  WAANDISHI wa habari wametakiwa kufikiria mbinu au njia mbali mbali ambazo watazitumia kuleta amani nchini, pamoja na kumaliza machafuko yanayoendelea duniani kwa kutumia mitandao ya kijamii. Hayo yameelezwa na aliyekua Afisa Mdhamini ya Habari utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, wakati alipokua akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari Pemba, juu ya…