RAIS wa UTPC atua PPC.

  Viongozi wa Vilabu vya waandishi wa habari nchini wametakiwa  kuwa na mashirikiano ya kutosha na wanachama wa vilabu hivyo ili waweze kutumikia wananchi  kwa ufanisi zaidi. Wito huo umetolewa na Rais wa  Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari Tanzinia   (UTPC ) Deogratias  Nsokolo wakati alipokuwa akizungumza na uongozi wa Klabu ya Waandishi wa…

PPC yapata viongozi wapya.

  NA MARYAM SALUM, PEMBA     MKUU wa Mkoa Kusini Pemba amewaasa Waandishi wa Habari kisiwani Pemba, waendelee kufuata sheria  na kanuni za nchi katika kazi zao, ili kuepusha migogoro inayoweza kuwa chanzo cha kuondosha amani iliyopo nchini  katika kipindi  hichi cha kuelekea Uchaguzi mkuu. Wito huo ulitolewa na kiongozi huyo wakati alipokuwa akizungumza…

Mikutano ya PPC yawaibua wagonjwa 20 wenye TB -2019.

  IMEANDIKWA NA ZUHURA JUMA, PEMBA WATU 20 wamegundulika kuugua ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kati ya watu 375 waliochunguza afya zao mara baada ya kumaliza kwa mikutano ya kuelimisha jamii kuhusu TB inayoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Pemba (PPC) kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kisiwani…