Mikutano ya PPC yawaibua wagonjwa 20 wenye TB -2019.

  IMEANDIKWA NA ZUHURA JUMA, PEMBA WATU 20 wamegundulika kuugua ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kati ya watu 375 waliochunguza afya zao mara baada ya kumaliza kwa mikutano ya kuelimisha jamii kuhusu TB inayoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Pemba (PPC) kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kisiwani…