PPC YAADHIMISHA MIAKA 30 YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KISIWANI PEMBA.
NA ABDI SULEIMAN. AFISA Mdhamini wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Pemba Hafidh Ali Mohamed, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao katika kuelimisha jamii juu ya ulipaji wa kodi na matumizi sahihi ya risiti za elektroniki. Alisema kuwa, waandishi wa habari ndio daraja la mawasiliano hivyo, ni vyema kuitumia taaluma ya…