Monday, January 17

HABARI PICHA: MUFTI Mkuu wa Zanzibar afungua msikiti wa wanajamii sompia.

MUFTI Mkuu wa Zanzibar Shekh Saleh Omar Kaabi, akizungumza na waumini mbali mbali wa dini ya Kiislamu, wakati wa ufunguzi wa msikti wa wanajamii ya Sompia Wilaya ya Chake Chake
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu kutoka kijiji cha Sompia Chake Chake, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa ufunguzi wa msikti Sompia kijijini hapo

 

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)