Monday, January 17

VIDEO:PPC wafanya mkutano wa awali wa kuhamasisha jami katika shehia ya Wawi

Mkutano wa uhamasishaji jamii  Kwa kutumia sanaa shirikishi katika suala zima la Amani wafanyika katika shehia ya Wawi kisiwani Pemba. NI kufuatia utekelzaji wa mradi wa SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATIMA YANGU,Unaoendeshwa na PPC kwa kushirikiana na Foundation for Civil Society na Search For common Ground kwa ufadhili wa European Union.

 

ANGALIA VIDEO YA MKUTANO HUO  KWA KUBOFYA HAPO CHINI