Monday, March 4

HABARI PICHA: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023. mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania.Mhe. Andrey Avetisyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha