Friday, September 29

afya

HABARI PICHA: Zanzibar yapokea chanjo ya Covid 19 ya Sinovac kutoka China
afya

HABARI PICHA: Zanzibar yapokea chanjo ya Covid 19 ya Sinovac kutoka China

Chanjo ya COVID-19  aina ya SINOVAC iliyopokelewa  katika Uwanja  wa Ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban kwa  niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui ikiwa ni msaada kutoka China Chanjo ya COVID-19  aina ya SINOVAC iliyopokelewa  katika Uwanja  wa Ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban kwa  niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui ikiwa ni msaada kutoka China Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban (kushoto) akipokea  Chanjo COVID-19 ya   aina ya SINOVAC kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui  kuto...
Chupa 26 za damu zimekusanywa katika bonanza maalumu la uchangiaji damu.
afya, Michezo

Chupa 26 za damu zimekusanywa katika bonanza maalumu la uchangiaji damu.

ABDI SULEIMAN. JUMLA ya Chupa 26 za damu zimekusanywa na kitengo cha Damua salama Kisiwani Pemba, katika bonanza maalumu la uchangiaji damu lililoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Maryam Azani Mwinyi. Akizungumza na wanamichezo na wananchi mbali mbali, Mbunge huyo wa Viti Maalumu Kusini Pemba, aliwataka akinamama wenzake kujitokeza kwa wingi katika masuala ya uchangiaji wa damu, ili kuokoa maisha ya wagaonjwa wanaohitaji huduma hiyo. Alisema bado hospitali zinahitaji sana kupata damu, kwani wagonjwa wamekuwa wakiongezeka huku damu nyingi ikitumiwa na akinamama wakati wakujifungua na wagonjwa wanaofanyiwa upoasuaji. “Hili jambo ambalo nimelifanya leo ni jambo kubwa sana, kila ambaye ataweza kuchangia damu fungu lake liko kwa mungu, hapoa anaweza kuokoa ...
RAIS SAMIA APOKEA MIRADI ILIYOFADHILIWA NA KUJENGWA NA GAFTAG
afya, Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA MIRADI ILIYOFADHILIWA NA KUJENGWA NA GAFTAG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Lugalo Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021. kulia ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bibi. Regine Hess, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, kulia Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo, Waziri wa Afya Mhe. Doroth Gwajima, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Je...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHANJO YA UVIKO 19 JIJINI DAR ES SALAAM
afya

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHANJO YA UVIKO 19 JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021. -Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Cheti cha Uthibitisho wa Chanjo muda mfupi baada ya kuzindua Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akipata Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 28,2021. Picha na Ikulu.  
Waziri wa Afya afungua Kongamano la kutathmini kazi za uuguzi na ukunga Zanzibar
afya

Waziri wa Afya afungua Kongamano la kutathmini kazi za uuguzi na ukunga Zanzibar

Wauguzi  na wakunga  wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, wazee, jinsia na watoto Nassor Ahmed Mazrui wakati wa  ufunguzi wa kongamano la kutathmini kazi za uuguzi na ukunga Zanzibar lililoandaliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar. Wauguzi  na wakunga  wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, wazee, jinsia na watoto Nassor Ahmed Mazrui wakati wa  ufunguzi wa kongamano la kutathmini kazi za uuguzi na ukunga Zanzibar lililoandaliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar. Mkurugrnzi Mkuu Wizara ya Afya  Abdalla Suleiman akizungumza machache nakumkaribisha Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, ...