Wednesday, September 22

Siasa

Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanatoa taswira gani kwa siasa za Tanzania?
Kitaifa, Siasa

Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanatoa taswira gani kwa siasa za Tanzania?

Rashid Abdallah Mchambuzi, Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anaendelea kupanga safu ya uongozi wake. Miongoni mwa teuzi kubwa zilizokwisha fanyika. Ni uteuzi wa Mabalozi wapya Mei 23, 2021. Juni, 2021 kulifanyika uteuzi wa wakuu wa wilaya. Shughuli imeendelea kwa kufanyika uteuzi uliobadilisha kidogo sura ya Baraza la Mawaziri siku ya jana. Mawaziri wanne wamepewa majukumu, wawili wakiwa wanawake na wawili wanaume. Pia kumefanyika uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.   Haya ni mabadiliko madogo ya pili ya baraza hilo tangu kifo cha Rais John Pombe Magufuli March 17, 2021. Mabadiliko ya kwanza yalifanyika Machi, 2021 Ikulu ya Chamwino, Dodoma wakati wa hafla ya kumuapisha makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Uwiano huu wa k...
TANZANIA moja ya nchi iliyokuwa kidemokrasia kuliko nchi nyengine  Afrika Mashariki
Kitaifa, Siasa

TANZANIA moja ya nchi iliyokuwa kidemokrasia kuliko nchi nyengine  Afrika Mashariki

TANZANIA ni moja ya nchi iliyokuwa kidemokrasia kuliko nchi nyengine zilizokuwepo Afrika Mashariki kutokana na kukua kwa uhuru, usawa na kushirikisha wananchi katika kutoa maamuzi kwa mujibu wa katiba. Mrajis wa Jumuiya zisizo za kiserikali Zanzibar, Ahmed Abdulla, aliyasema hayo wakati akifungua mdahalo wa siku tatu wa kubadilishana mawazo ili kuimarisha maarifa, taaluma, ujuzi na weledi kuhusu wajibu wa pamoja wa wadau wa kisiasa katika kujenga na kusimamia utekelezaji wa misingi ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania katika hoteli ya Abla Mtoni. Alisema Tanzania inapiga hatua kubwa ya demokrasia kwani ni nchi yenye amani, umoja na mshikamano na watu kuwa na uhuru wa kufanya shughuli zao kwa kufuata sheria za nchi ambayo ndio demokrasia. Aidha alisema muit...
VIDEO: Wasimamizi wa uchaguzi mdogo jimbo la konde watakiwa kufanya kazi kwa weledi.
Siasa

VIDEO: Wasimamizi wa uchaguzi mdogo jimbo la konde watakiwa kufanya kazi kwa weledi.

NA KHADIJA KOMBO - PEMBA                Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde wametakiwa kufanya kazi kwa ufanisi huku wakizingatia Sheria, kanuni na maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nakuepuka kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika katika hali ya amani na utulivu. Akifungua mafunzo ya siku tatu kwa watendaji hao huko katika Ukumbi wa Kiwanda  cha  mafuta ya makonyo Wawi  Pemba Makamo Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Mahkama ya Rufaa Tanzania  Mbarouk Salim Mbarouk amesema uchaguzi ni mchakato unaojumuisha hatua na taratibu mbali mbali za kufuatwa ambazo zinaweka msingi imara wa uchaguzi wenye uwazi na usio na malalamiko  au vurugu. Makamo Mwenyekiti huyo amewataka watendaji hao wahakikisha wanawashirikisha wadau wote wa u...
MSAJILI VYAMA VYA SIASA AIPONGEZA CUF KUTUMIA WTAALAMU KATIKA MASUALA YA FEDHA
Siasa

MSAJILI VYAMA VYA SIASA AIPONGEZA CUF KUTUMIA WTAALAMU KATIKA MASUALA YA FEDHA

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi – CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba akiwakaribisha wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa walipotembelea katika Afisi za Makao Makuu ya Chama hicho zilizopo Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis, Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Ndani toka ORPP, Peter Lyimo na Mkuu wa Sehemu ya Usajili, Muhidin Mapeyo. Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Ndani toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Perter Lyimo akionyesha nakala ya Kanuni za Fedha  za Vyama vya Siasa za mwaka 2019 mbele ya viongozi wa Chama cha Wananchi – CUF  wakati wa zoezi la uhakiki katika  Ofisi za chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu ...
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI
Siasa

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

  Na Emmanuel Mbatilo   Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk  akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo hii leo Septemba 8,2021.  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk  akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo hii leo Septemba 8,2021. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Uchaguzi wa NEC, Hamidu Mwanga, Kamishna wa Tume, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Givness Aswile na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ofisi ya Zanzibar, Adam Mkina.  Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk  akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo hii leo Septemba 8,2021. Wengine kus...