Sunday, August 1

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi Baraza la Eid el Hajj Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akipokea gwaride maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuhudhuria katika viwanja vya baraza la Wawakilishi kwa ajili ya baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Massoud Othman, akiwasili katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete, kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Wawikilishi Wete, kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
ASKARI Polisi wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili kwa Rais wa Zanzibar katika viwanja vya baraza la Wawakilishi Wete, kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariyam Mwinyi, akiwasili katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete, kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
WAKE wa Viongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Mama mariyam Mwinyi (kulia), katikati ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Sharifa Hemed Suleiman, katibu kiongozi wa Baraza la Mapinduzi Ijinia Zena, wakifuatilia kwa makini hutuba ya baraza la Iddi, lililofanyika katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete
BAADHI ya akinamama waalioalikwa katika baraza la Eid-El-Hajji, huko katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
BAADHI ya waumini wa dini ya kislamu na wananchi wa mikoa miwili ya Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuba ya baraza la Eid-El-Hajji iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi huko katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete
WAZIRI wan chi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria , Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Harouna Ali Suleiman, akimkaribisha Rais kwa ajili ya kuhutubia baraza la Eid-El-Hajji kitaifa lililofanyika katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete
MAWAZIRI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia baraza la Eid-El-Hajji, lililofanyika katika baraza la Wawakilishi Wete

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wananchi wa Zanzibar kupitia baraza la Eid-El-Hajj lililofanyika, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)