Thursday, December 3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akungumza na Waandishi wa habari Akitangaza Baraza la Mawaziri leo Jijini Zanzibar.