Waandishi wa habari Kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini kwenye kutumia kalamu na sauti zao katika kuhubiri amani.

NA KHADIJA KOMBO-PEMBA. Waandishi wa habari Kisiwani Pemba wametakiwa kuwa makini kwenye kutumia kalamu na sauti zao katika kuhubiri amani, kwani wao wanauwezo mkubwa wa kuwahamasisha wananchi juu ya kuiendeleza amani iliyopo. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jumiya ya waandishi wa Habari Kisiwani Pemba PPC Bakar Mussa Juma wakati alipokuwa akifungua mafunzo ya siku…

WAANDISHI watakiwa kutokua chanzo cha migogoro

NA MWANDISHI WETU. MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Pemba na Mkufunzi wa masuala ya habari Said Mohamed Ali, amesema waandishi ni nyenzo muhimu ya kuepusha migogoro na kujenga amani katika nchi, ili kufikia huko wanapaswa kuwa makini katika habari wanazoziandika kutokuwa chanzo cha migogoro ndani ya jamii. Alisema iwapo waandishi hao watatumia vyema kalamu zao katika…

PPC yazindua mradi wake wa ‘SAUTI YANGU, AMANI YANGU, HATMA YANGU.-MY VOICE, MY PEACE, MY FUTURE’

WAANDISHI wa Habri Kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini taarifa ya uzinduzi wa mradi wa miezi sita unaojulikana kwa jina la Sauti Yangu, Amani Yangu, Hatma Yangu, mradi huo unaotekelezwa na Klabu ya waandishi wa habari Pemba, mkutano uliofanyika Mjini Chake Chake. MWENYEKITI wa Klabu ya waandishi wa habari Pemba…