Saturday, July 27

HABARI PICHA: Ujumbe wa Unwomen na Maofisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania Watembelea Ofisi za TAMWA -Zanzibar

Mkurugenzi wa TAMWA-Zanzibar Dkt,Mzuri Issa akizungumza na Ujumbe wa Wadau wadau wanaosaidia utekelezaji wa miradi mbali mbali ambayo hulenga kuwawezesha wanawake kushika nafasi za uongozi Zanzibar,ugeni huo unatoka katika shirika la umoja wa mataifa linalojihusisha na haki za wanawake ulimenguni Unwomen pamoja na maafisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania. mazungunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Tamwa Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 7-2-2023
TAMWA-ZNZ imepokea ugeni kutoka kwa wadau wanaosaidia utekelezaji wa miradi mbali mbali ambayo hulenga kuwawezesha wanawake kushika nafasi za uongozi Zanzibar,ugeni huo unatoka katika shirika la umoja wa mataifa linalojihusisha na haki za wanawake ulimenguni Unwomen pamoja na maafisa wa Ubalozi wa Finland Nchini Tanzania.