Thursday, June 13
Mahakama yamrejesha uraiani aliyedaiwa kumuingilia mlemavu Pujini
Kitaifa, Sheria, Wanawake & Watoto

Mahakama yamrejesha uraiani aliyedaiwa kumuingilia mlemavu Pujini

IMEANDIKWA NA HAJI NASSOR, PEMBA MAHAKAMA ya mkoa Chake Chake, imemuachia huru, kijana Abdalla Khatib Abdalla miaka 25 wa Pujini, aliyekuwa akituhumiwa kumuingilia mwanamke mwenye ulemavu wa akili, baada ya mahakama hiyo kubaini utata juu ya eneo alililodaiwa kuingiliwa mwanamke huyo. Hakimu wa mahakama hiyo Luciano Makoye Nyengo, alisema kuwa, amelazimika kumuachia huru mtuhumiwa kwa vile, shahidi mmoja alidai mwanamke huyo aliingiliwa kichani tena chini ya Muwembe. Alisema, ilipofika wakati wa shahidi muathirika ambae ana ulemavu wa akili, aliimbia mahakama hiyo kuwa, aliingiliwa na mtuhumiwa ndani ya nyumba eneo la Pujini na sio kichakani. “Shahidi mmoja alidai kuwa, tukio la kuingiliwa kwa mwanamke huyo lilifanyika kichakani, ingawa alipokuja muathirika wa tukio, aliiel...
Wajasiriamali Pemba wapewa mbinu kuukimbia umaskini
Biashara

Wajasiriamali Pemba wapewa mbinu kuukimbia umaskini

IMEANDIKWA Na Gaspary Charles- TAMWA-Pemba WAJASIRIAMALI kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza ubunifu wa kazi zao kwaajili ya kujitangaza na kuongeza wigo wa uuzaji wa bidhaa wanazozalisha ili kuendelea kujikwamua kiuchumi. Akizungumza katika mkutano wa kamati ya biashara kwa ajili ya kubadilishana mawazo kwa wajasiriamali ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake TAMWA Zanzibar ofisi ya Pemba, mwezeshaji wa mkutano huo, Hamad Hassan Chande amesema ili bidhaa ya mjasiriamali iweze kupendwa ni lazima iongezewe ubunifu. Aliongeza kwa kuwataka wajasiriamali hao kuacha kuogopa kukabiliana na changamoto za kibiashara na badala yake watumie changamoto hizo kama silaha ya kubuni njia mpya ya uendelezaji wa shughuli zao. “Ujasiri na uthubutu kwa mjasiriamali katika kuch...
Moyo Media Co. Ltd conducted Cyber Security & Marketing training for PACSO management and its organizations’ members
Biashara

Moyo Media Co. Ltd conducted Cyber Security & Marketing training for PACSO management and its organizations’ members

In recent years, criminals have shifted their efforts into cyberspace — with the right tools and know-how, they can commit crimes in the comfort of their living rooms. Cybercriminals today use malware, phishing and spam to scam victims out of various amounts of money. Whether it is online banking systems, email accounts or even online store memberships, everything is up for grabs because criminals can make a profit on virtually anything. While on other hand, Marketing is of growing importance to many non-profit organizations because of the need to generate funds in an increasingly competitive arena. Even organization that relies on government – sponsored grants need to show how their work is of benefit to society: they must meet the needs of their customers (i.e. Community, donors, ...